Dinahicious-Sex, Relationships & Love Mgusano wa ngozi,mtekenyo/mkwaruzo wa nywele, harufu asilia ya mwili hasa sehemu ya shingoni, chuchu, sehemu za sirini na kwapani ni vitu vyenye thamani ambavyo binaadamu wanaweza kupeana au niseme kubadilishana. Wazazi na vichanga hupeana kwa namana moja, marafiki ndugu na jamaa hupeana kwa namna nyingine, wachezaji na mashabiki hubadilishana kivyao na bila shaka wapenzi hubadilishana kwa njia kimkanganyiko (sio rahisi kuielezea kwani inategemea na mapenzi yako juu ya umpendae). http://dinahicious.blogspot.com/feeds/posts/default
Google offers two different ways to keep up-to-date with your favorite sites: |