Fanya biashara yako iwe nyumbani kwenye Google+
Ukurasa wako wa Google+ ndiyo nyumbani kwa chapa yako kwenye Google. Bofya “Unda ukurasa wa Google+” hapo chini ili kuanza, kisha ongeza jina la kampuni yako na picha ili kugeuza ukurasa wako kukufaa. Halafu, waambie wageni zaidi kuhusu chapa yako katika sehemu ya “Kuhusu”. Kujumuisha tovuti na maelezo ya kina kunaweza kusaidia wateja kukupata kote kwenye Google.
Unda ukurasa wa Google+
Tazama
Video
Pendekezwa kote kwenye Google
Maelezo ya kijamii huongeza ridhaa kutoka kwa wafuasi wako wa Google+ kwa kampeni yako ya AdWords, na kuwaletea matangazo yako ya Utafutaji. Hii inaweza kuletea matangazo yako kiinuko cha kiwango cha mibofyo ya wastani (CTR) cha asilimia 5-10. Jifunze namna ya kuwezesha maelezo ya jamii.
Ongeza maelezo ya kijamii
Kwa nini utumie maelezo ya jamii?
Maelezo ya kijamii hufanya bidhaa yako kujulikana kwa kuongeza taarifa muhimu kutoka Google+ kwa matangazo yako ya Utafutaji wa Google. Yataonyeshwa kwa watumiaji wa utafutaji wa kompyuta na simu wakati yanatabiriwa kuboresha utendaji wa matangazo yako.
Jinsi ya kutekeleza maelezo ya kijamii
Yakiwa na kampeni zilizoimarishwa za AdWords, maelezo ya kijamii yataonyeshwa katika matangazo ya utafutaji kwa watangazaji wanaofaa. Ili kuanza, utahitaji ukurasa wa Google+ wenye tovuti iliyounganishwa na inayolingana na tovuti ya matangazo yako ya utafutaji.
Pakua mwongozo wetu wa kuanza
Zaidi ya watu milioni 400 hutumia Google+ kuungana na watu na biashara wanazopenda. Mwongozo huu utakusaidia kutumia Google+ kushirikisha wafuasi wako, kuongoza mapendekezo ya wateja, na kuongeza trafiki yako kote kwenye Google. Ipakue sasa ili kuanza leo.
Pakua mwongozo
Biashara
Mwanzo