MwanzoBTC / ARS • Sarafu ya dijitali
add
Bitcoin (BTC / ARS)
Bei iliyotangulia
126,877,179.19
Habari kuu
Habari kuhusu Soko
Kwenye habari
Kwenye habari
Kwenye habari
Habari kuhusu Sarafu ya Ethereum
Kuhusu Bitcoin
Sarafu ya Bit ni mfumo wa malipo dijitali ambao unatumiwa na mamilioni ya watu bila msimamizi wa juu kama Benki Kuu ilivyo katika nchi mbalimbali. Sarafu hiyo huweza kutumika kwa kubadilishana na sarafu nyingine, bidhaa au huduma.
Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya jina la Satoshi Nakamoto na kutolewa kama programu huria mwaka 2009. Kuanzia Februari 2015, wafanyabiashara zaidi ya 100,000 wanakubali Sarafu ya Bit kama malipo.
Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge wa mwaka 2017, kuna watu kati ya milioni 2.9 hadi 5.8 wanaotumia malipo dijitali na wengi wao wanatumia sarafu ya bit.
Mara nyingi sarafu ya bit inaitwa "pesa ya dijitali" lakini wataalamu wengi huiona si pesa bali bidhaa ya bahatisho. Paul Krugmann pamoja na wapokeaji wengine wa Tuzo ya Nobel ya Elimu ya Uchumi aliita udanganyifu akiilinganisha na bahatisho la vitunguu vya maua ya tulip huko Uholanzi katika karne ya 17. WikipediaKuhusu Peso ya Ajentina
The peso is the currency of Argentina since 1992, identified within Argentina by the symbol $ preceding the amount in the same way as many countries using peso or dollar currencies. It is subdivided into 100 centavos, but with 10 pesos being worth about 1 US cent in early 2025, smaller denominations are not issued or in normal use. Its ISO 4217 code is ARS. It replaced the austral at a rate of 10,000 australes to one peso.
Argentine currency has experienced severe inflation, with periods of hyperinflation, since the mid-20th century, with periodic change of the currency valuation to a new version at a rate ranging from 100:1 to 10,000:1. A new peso introduced in 1992, officially the peso convertible de curso legal, was worth 10,000,000,000,000 pesos moneda nacional, the currency in use until 1970. Since the early 21st century, the peso has experienced further substantial inflation, reaching 289.4% year-on-year in April 2024, the highest since the current peso was introduced in the Convertibility plan of 1991. Wikipedia