MwanzoBTC / RUB • Sarafu ya dijitali
add
Bitcoin (BTC / RUB)
Bei iliyotangulia
5,659,138.19
Habari kuu
Kwenye habari
Kwenye habari
Habari kuhusu Uwekezaji
Habari kuhusu Donald Trump
Kwenye habari
Kuhusu Bitcoin
Sarafu ya Bit ni mfumo wa malipo dijitali ambao unatumiwa na mamilioni ya watu bila msimamizi wa juu kama Benki Kuu ilivyo katika nchi mbalimbali. Sarafu hiyo huweza kutumika kwa kubadilishana na sarafu nyingine, bidhaa au huduma.
Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya jina la Satoshi Nakamoto na kutolewa kama programu huria mwaka 2009. Kuanzia Februari 2015, wafanyabiashara zaidi ya 100,000 wanakubali Sarafu ya Bit kama malipo.
Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge wa mwaka 2017, kuna watu kati ya milioni 2.9 hadi 5.8 wanaotumia malipo dijitali na wengi wao wanatumia sarafu ya bit.
Mara nyingi sarafu ya bit inaitwa "pesa ya dijitali" lakini wataalamu wengi huiona si pesa bali bidhaa ya bahatisho. Paul Krugmann pamoja na wapokeaji wengine wa Tuzo ya Nobel ya Elimu ya Uchumi aliita udanganyifu.
Historia ya Bitcoin ilianza na karatasi nyeupe iliyochapishwa na Nakamoto ikizungumzia namna mfumo huu na sarafu hii inavyofanya kazi mnamo Oktoba 2008, ambayo ilielezea dhana ya sarafu ya kidijitali iliyosambazwa, ambayo inaweza kutumiwa kwa malipo salama na ya moja kwa moja bila ya kuwepo kwa taasisi za kati kama benki. WikipediaKuhusu Ruble ya Urusi
The ruble or rouble is the official currency of Russia. Banknotes and coins are issued by the Central Bank of Russia, which is Russia's monetary authority independent of all other government bodies.
The ruble is the second-oldest currency in continuous use, after pound sterling, as well as the first decimal currency. The ruble was the currency of the Russian Empire and later the Soviet Union, where it was known as the Soviet ruble. Following the dissolution of the Soviet Union in 1991, the Soviet ruble was replaced in Russia with the Russian ruble at par in the following year. The Russian ruble continued to be used in 11 post-Soviet states, forming a "ruble zone" until 1993. In 1998, the ruble was redenominated shortly before the 1998 financial crisis, at a rate of 1000 RUR = 1 RUB.
The ruble is a free-floating currency and is subdivided into 100 kopecks which have fallen out of use due to inflation. In 2023, the digital ruble was introduced. The Russian ruble is also used as a de facto legal tender in Baikonur, Abkhazia and South Ossetia. Wikipedia