MwanzoBTC / SCR • Sarafu ya dijitali
add
Bitcoin (BTC / SCR)
Bei iliyotangulia
955,056.69
Habari kuu
Habari kuhusu Irani
Kwenye habari
Kwenye habari
Kwenye habari
Kwenye habari
Kuhusu Bitcoin
Sarafu ya Bit ni mfumo wa malipo dijitali ambao unatumiwa na mamilioni ya watu bila msimamizi wa juu kama Benki Kuu ilivyo katika nchi mbalimbali. Sarafu hiyo huweza kutumika kwa kubadilishana na sarafu nyingine, bidhaa au huduma.
Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya jina la Satoshi Nakamoto na kutolewa kama programu huria mwaka 2009. Kuanzia Februari 2015, wafanyabiashara zaidi ya 100,000 wanakubali Sarafu ya Bit kama malipo.
Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge wa mwaka 2017, kuna watu kati ya milioni 2.9 hadi 5.8 wanaotumia malipo dijitali na wengi wao wanatumia sarafu ya bit.
Mara nyingi sarafu ya bit inaitwa "pesa ya dijitali" lakini wataalamu wengi huiona si pesa bali bidhaa ya bahatisho. Paul Krugmann pamoja na wapokeaji wengine wa Tuzo ya Nobel ya Elimu ya Uchumi aliita udanganyifu.
Historia ya Bitcoin ilianza na karatasi nyeupe iliyochapishwa na Nakamoto ikizungumzia namna mfumo huu na sarafu hii inavyofanya kazi mnamo Oktoba 2008, ambayo ilielezea dhana ya sarafu ya kidijitali iliyosambazwa, ambayo inaweza kutumiwa kwa malipo salama na ya moja kwa moja bila ya kuwepo kwa taasisi za kati kama benki. WikipediaKuhusu Rupia ya Ushelisheli
The rupee is the currency of the Seychelles. It is subdivided into 100 cents. In the local Seychellois Creole language, it is called the roupi. The ISO code is SCR. Officially denoted with R or SCR, the abbreviation SR is sometimes used for distinction. By population, Seychelles is the smallest country to have an independent monetary policy. Several other currencies are also called rupee. Wikipedia