MwanzoBTC / SVC • Sarafu ya dijitali
add
Bitcoin (BTC / SVC)
Bei iliyotangulia
585,334.21
Habari kuu
Habari kuhusu Irani
Kuhusu Bitcoin
Sarafu ya Bit ni mfumo wa malipo dijitali ambao unatumiwa na mamilioni ya watu bila msimamizi wa juu kama Benki Kuu ilivyo katika nchi mbalimbali. Sarafu hiyo huweza kutumika kwa kubadilishana na sarafu nyingine, bidhaa au huduma.
Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya jina la Satoshi Nakamoto na kutolewa kama programu huria mwaka 2009. Kuanzia Februari 2015, wafanyabiashara zaidi ya 100,000 wanakubali Sarafu ya Bit kama malipo.
Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge wa mwaka 2017, kuna watu kati ya milioni 2.9 hadi 5.8 wanaotumia malipo dijitali na wengi wao wanatumia sarafu ya bit.
Mara nyingi sarafu ya bit inaitwa "pesa ya dijitali" lakini wataalamu wengi huiona si pesa bali bidhaa ya bahatisho. Paul Krugmann pamoja na wapokeaji wengine wa Tuzo ya Nobel ya Elimu ya Uchumi aliita udanganyifu.
Historia ya Bitcoin ilianza na karatasi nyeupe iliyochapishwa na Nakamoto ikizungumzia namna mfumo huu na sarafu hii inavyofanya kazi mnamo Oktoba 2008, ambayo ilielezea dhana ya sarafu ya kidijitali iliyosambazwa, ambayo inaweza kutumiwa kwa malipo salama na ya moja kwa moja bila ya kuwepo kwa taasisi za kati kama benki. WikipediaKuhusu SVC
The colón was the currency of El Salvador from 1892 until 2001, when it was replaced by the U.S. dollar during the presidency of Francisco Flores. The colón was subdivided into 100 centavos and its ISO 4217 code is SVC, which didn't deprecate as a historical code. The plural is "colones" in Spanish and the currency was named after Christopher Columbus, known as Cristóbal Colón in Spanish. Wikipedia