Finance
Finance
MwanzoMBG • FRA
Mercedes-Benz Group
€ 49.73
27 Apr, 23:46:10 GMT +2 · EUR · FRA · Kanusho
HisaHisa zinazouzwa DE
Bei iliyotangulia
€ 50.17
Bei za siku
€ 49.33 - € 50.11
Bei za mwaka
€ 48.00 - € 62.30
Thamani ya kampuni katika soko
47.50B EUR
Wastani wa hisa zilizouzwa
elfu 10.51
Uwiano wa bei na mapato
9.31
Mgao wa faida
7.04%
Ubadilishanaji wa msingi
ETR
Kwenye habari
Kuhusu
Mercedes-Benz Group AG, awali ikijulikana kama Daimler-Benz, DaimlerChrysler, na Daimler, ni kampuni ya magari ya kimataifa yenye makao jijini Stuttgart, Ujerumani. Iliundwa mwaka 1926 kutokana na muungano wa Benz & Cie., kampuni ya kwanza ya magari duniani, na Daimler Motoren Gesellschaft. Mwaka 1998, ilibadilishwa jina kuwa DaimlerChrysler baada ya kununua Chrysler Corporation ya Marekani, lakini mwaka 2007 ilirudi kuitwa Daimler baada ya kuachana na Chrysler. Mnamo 2021, ilikuwa mtengenezaji wa pili kwa ukubwa wa magari Ujerumani na wa sita duniani. Mwaka 2022, ilibadilishwa jina kuwa Mercedes-Benz Group baada ya kutenganisha kitengo chake cha magari ya kibiashara kuwa kampuni huru, Daimler Truck. Wikipedia
Afisa Mkuu Mtendaji (CEO)
Ilianzishwa
Nov 1998
Wafanyakazi
158,324
Gundua zaidi
Huenda unavutiwa na
Orodha hii imetokana na maudhui uliyotafuta hivi majuzi, hisa unazofuatilia na shughuli zingine. Pata maelezo zaidi

Data na maelezo yote hutolewa “kama yalivyo” kwa madhumuni ya taarifa binafsi tu, wala hayanuii kuwa ushauri wa kifedha na hayana madhumuni ya kufanya biashara au uwekezaji, kodi, kisheria, uhasibu au ushauri mwingine. Google si mshauri wa uwekezaji wala mshauri wa kifedha na haitoi maoni au mapendekezo yanayohusiana na kampuni zozote zilizojumuishwa kwenye orodha hii au hisa zozote zilizotolewa na kampuni hizo. Tafadhali wasiliana na dalali wako au mwakilishi wa kifedha ili uthibitishe bei kabla ya kufanya biashara yoyote. Pata maelezo zaidi
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu