Finance
Finance
MwanzoMSF • ETR
Microsoft
€ 363.10
30 Jan, 18:12:34 GMT +1 · EUR · ETR · Kanusho
HisaHisa zinazouzwa DEMakao yake makuu ni Marekani
Bei iliyotangulia
€ 355.40
Bei za siku
€ 360.25 - € 369.05
Bei za mwaka
€ 301.10 - € 491.85
Thamani ya kampuni katika soko
3.21T USD
Wastani wa hisa zilizouzwa
elfu 22.94
Uwiano wa bei na mapato
-
Mgao wa faida
-
Ubadilishanaji wa msingi
NASDAQ
Kwenye habari
Fedha
Taarifa ya Mapato
Mapato
Mapato halisi
(USD)Des 2025Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita
Mapato
81.27B16.72%
Matumizi ya uendeshaji wa biashara
17.02B5.19%
Mapato halisi
38.46B59.52%
Kiwango cha faida halisi
47.3236.68%
Mapato kwa kila hisa
4.1428.17%
EBITDA
47.47B23.37%
Asilimia ya kodi ya mapato
20.29%
Jumla ya mali
Jumla ya dhima
(USD)Des 2025Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita
Uwekezaji wa pesa taslimu na vipindi vifupi
89.46B25.03%
Jumla ya mali
665.30B24.61%
Jumla ya dhima
274.43B18.70%
Jumla ya hisa
390.88B
hisa zilizosalia
7.43B
Uwiano wa bei na thamani
6.76
Faida inayotokana na mali
14.70%
Faida inayotokana mtaji
20.54%
Mabadiliko halisi ya pesa taslimu
(USD)Des 2025Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita
Mapato halisi
38.46B59.52%
Pesa kutokana na shughuli
35.76B60.41%
Pesa kutokana na uwekezaji
-22.70B-60.89%
Pesa kutokana na ufadhili
-17.62B-56.69%
Mabadiliko halisi ya pesa taslimu
-4.55B-35.59%
Mtiririko huru wa pesa
6.39B1,175.73%
Kuhusu
Microsoft Corporation ni kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya kompyuta. Neno Microsoft ni neno unganifu lilitokana na maneno ya Kiingereza "microcomputer" na "software". Kampuni ilianzishwa na William Henry Gates III na Paul Allen 04 Aprili 1977, ili kuendeleza na kuuza mifumo-ongozo rahisi kwa ajili ya kompyuta ndogo za Altair 8800. Kampuni hili liliinuka na kutawala soko la utengenezaji wa mifumo-ongozo ya kompyuta binafsi kupitia mfumo wake unaojulikana kama MS-DOS katikati ya miaka ya 1980, ikifuatiwa na programu ya Microsoft Windows. Makao makuu yako Redmond, Washington, Marekani. Kampuni hii inaendeleza, kutengeneza, kutoa leseni, kusaidia na kuuza programu za kompyuta, vifaa vya umeme, kompyuta binafsi pamoja na huduma zihusianazo na hizo. Programu yake ya kompyuta ijulikanayo sana ni mfumo ongozo wa kompyuta wa Microsoft Windows, na programu nyingine kama vile, Microsoft Office, na Internet Explorer pamoja na Edge Web. Vifaa vyake maarufu ni vifaa michezo vya Xbox pamoja na mfumo wa kioomguso uitwao Microsoft Surface lineup kwa ajili ya kompyuta binafsi. Wikipedia
Afisa Mkuu Mtendaji (CEO)
Ilianzishwa
4 Apr 1975
Wafanyakazi
228,000
Gundua zaidi
Huenda unavutiwa na
Orodha hii imetokana na maudhui uliyotafuta hivi majuzi, hisa unazofuatilia na shughuli zingine. Pata maelezo zaidi

Data na maelezo yote hutolewa “kama yalivyo” kwa madhumuni ya taarifa binafsi tu, wala hayanuii kuwa ushauri wa kifedha na hayana madhumuni ya kufanya biashara au uwekezaji, kodi, kisheria, uhasibu au ushauri mwingine. Google si mshauri wa uwekezaji wala mshauri wa kifedha na haitoi maoni au mapendekezo yanayohusiana na kampuni zozote zilizojumuishwa kwenye orodha hii au hisa zozote zilizotolewa na kampuni hizo. Tafadhali wasiliana na dalali wako au mwakilishi wa kifedha ili uthibitishe bei kabla ya kufanya biashara yoyote. Pata maelezo zaidi
Watu pia hutafuta
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu