MwanzoUSD / DZD • Sarafu
USD / DZD
134.6145
8 Mei, 04:42:00 UTC · Kanusho
Viwango vya Ubadilishaji Sarafu
Bei iliyotangulia
134.57
Habari za soko
Dolar ya Marekani ni pesa halali ya Marekani. Alama yake ni $. Dolar ya Marekani inapatikana kwa noti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1. Dolar moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dolar, robo dolar na sarafu za senti 10, 5 na 1. Hadi mwaka 1969 noti ya dolar ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha. Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dolar ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini Tanzania. Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia dolar ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dolar hizo. Lakini tangu kupatikana kwa Euro mwaka 1999 umuhimu wa dolar ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dolar ya Marekani tu, k.mf. El Salvador. Wikipedia
The dinar is the monetary currency of Algeria and it is subdivided into 100 centimes. Centimes are now obsolete due to their extremely low value. Wikipedia
Gundua zaidi
Huenda unavutiwa na
Orodha hii imetokana na maudhui uliyotafuta hivi majuzi, hisa unazofuatilia na shughuli zingine. Pata maelezo zaidi

Data na maelezo yote hutolewa “kama yalivyo” kwa madhumuni ya taarifa binafsi tu, wala hayanuii kuwa ushauri wa kifedha na hayana madhumuni ya kufanya biashara au uwekezaji, kodi, kisheria, uhasibu au ushauri mwingine. Google si mshauri wa uwekezaji wala mshauri wa kifedha na haitoi maoni au mapendekezo yanayohusiana na kampuni zozote zilizojumuishwa kwenye orodha hii au hisa zozote zilizotolewa na kampuni hizo. Tafadhali wasiliana na dalali wako au mwakilishi wa kifedha ili uthibitishe bei kabla ya kufanya biashara yoyote. Pata maelezo zaidi
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu