Drive file types icons

Hifadhi faili yoyote

Hifadhi ya Google inaanza kwa kukupa GB 15 za hifadhi ya Google mtandaoni bila malipo, kwa hivyo unaweza kuweka picha, hadithi, miundo, michoro, maudhui yaliyorekodiwa, video - chochote kile.

Files on Google Drive displayed on multiple devices

Angalia vitu vyako mahali popote

Faili zako zilizo katika Hifadhi zinaweza kufikiwa kwenye simu yoyote mahiri au kompyuta ya aina yoyote. Kwa hivyo, popote uendapo, faili zako zitakuwa nawe.

Share files on Drive with your friends

Shiriki faili na folda

Unaweza kuwaalika wengine kwa haraka waangalie, wapakue na kushirikiana nawe kwenye faili zote ambazo ungependa. Huhitaji kiambatisho cha barua pepe.