Fikia na usawazishe faili zako popote ulipo

Binafsi

Hifadhi nakala za faili zilizo katika kompyuta, kamera, au kadi zako za SD kwenye wingu. Pata faili zako kwenye kifaa au kompyuta yoyote kwa kutumia Hifadhi ya Google na uangalie picha zako kwenye huduma ya Picha kwenye Google.

Pakua Pata Maelezo Zaidi

Biashara

Njia mpya ya kufikia faili zako zote zilizo kwenye Hifadhi ya Google unapozihitajii, moja kwa moja kutoka kwenye Mac au PC yako, bila kutumia nafasi yote ya diski.

Anza kutumia
Google Drive Icon

Fikia Hifadhi ya Google kwenye simu au kompyuta kibao yako

Pata programu ya Hifadhi ya Google ili ufikie faili zako zote kwenye kifaa chako cha Android au iOS.

Pakua programu ya Kuhifadhi Nakala na Kusawazisha ya Windows

Pakua programu ya Kuhifadhi Nakala na Kusawazisha ya Mac

Sheria na Masharti ya Hifadhi ya Google

Kwa kutumia programu ya Kuhifadhi Nakala na Kusawazisha, unakubali Sheria na Masharti ya Google. Kama wewe ni mtumiaji wa G Suite, matumizi yako yanasimamiwa na Sheria na Masharti ya G Suite yanayohusika, au masharti ya G Suite yaliyoafikiwa, kama yapo.

By using Google Drive, you agree to the Google Terms of Service. If you are a Google Apps user, your use is subject to either the appropriate Google Apps Terms of Service, or the negotiated Google Apps terms, if applicable.