Mtandaoni, nje ya mtandao, popote ulipo
Iwe nyumbani, kazini, au popoe pengine—wasiliana katika lugha unayotaka, unapotaka.
Wewe mwenyewe unaiweka upendavyo, ili ikufae
Zana za Kuingiza Data za Google hukumbuka masahihisho yako na huweka kamusi maalum ya maneno na majina mapya au yasiyo ya kawaida.
Charaza utakavyo
Pata ujumbe wako katika lugha na mtindo unaotaka. Badilisha miongoni mwa lugha zaidi ya 80 na mbinu za kuingiza data inafanya kazi bila mipaka kama kucharaza.