Zana za Kuingiza Data za Google kwenye Huduma za Google

Zana za Kuingiza Data za Wingu hurahisisha kucharaza katika lugha unayotaka, unapotaka. Inatumia zaidi ya lugha 90 ikitumia mchanganyiko wa Mbinu za Kuingiza Data au unukuzi wa mfumo wa kuandika, kibodi pepe na kuandika kwa mkono . Hivi majuzi tulizindua Programu Inayotambua Mbinu za Kuingiza Data (IME) ya Kikantoni!

Pata maelezo ya jinsi ya kutumia katika huduma za Google: