Maelezo ya Maudhui
Zana za Google za Kuingiza Data hutumia data ifuatayo.
Programu Inayotambua Mbinu za Kuingiza Data (IME) ya Wubi ya Kichina
Maudhui yenye Leseni ya Wangma Wubi (五笔 字型) kutoka Beijing Wangma Innovation Network Technology Co., Ltd. (北京王码创新网络技术有限公司). Wasiliana na kampuni ya Wangma ukitumia nambari +86 (10) 8256-3185 au kupitia www.wangma.com.cn.
Programu Inayotambua Mbinu za Kuingiza Data (IME) ya Kikantoni kwa Kichina
- Maudhui kutoka Kaifangcidian, ambayo yana leseni ya Creative Common Attribution 3.0 (中文).
- Maudhui yenye leseni kutoka Language Creation (言葉 社).
Programu Inayotambua Mbinu za Kuingiza Data (IME) za Kikorea ya Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome
- Kupanga kutoka Hangul kwenda Hanja na maelezo yanatolewa na hanja.txt, ambayo inasimamiwa na Leseni ya BSD.
- Kupanga kutoka hangul kwenda alama katika hali ya Hanja kunatolewa na mssymbol.txt, ambayo pia inasimamiwa na Leseni ya BSD.