Huduma ya Tafuta na Google
Kulingana na kikoa ulichokichagua cha Huduma ya Tafuta na Google, kibodi pepe inaweza kuonyeshwa kwenye kisanduku cha kutafutia. Kwa mfano, ukienda kwenye www.google.ru, ikoni ya kibodi ya Kirusi itaonyeshwa kiotomatiki kando ya kisanduku cha kutafutia. Tafadhali soma makala haya upate maelezo zaidi.
Soma blogu hii Kuunganisha kibodi pepe katika Huduma ya Tafuta na Google iliyochapishwa kwenye Blogu Rasmi ya Google.
Makala yanayohusiana kuhusu jinsi ya kutumia zana maalum za kuingiza data:
- Jinsi ya kutumia unukuzi wa mfumo wa kuandika
- Jinsi ya kutumia Programu Inayotambua Mbinu za Kuingiza Data (IME)
- Jinsi ya kutumia Kibodi Pepe
Machapisho ya blogu za Google yanayohusiana:
Zana
za Kuingiza Data