Mikato ya kibodi

Gmail na Hifadhi ya Google

Njia ya mkato Utendaji
CTRL + SHIFT + K Washa/zima
CTRL + ALT + SHIFT + K Fungua menyu ya zana za kuingiza data
Programu Inayotambua Herufi za Kichina pekee (IME):
"SHIFT" Badili kati ya hali ya Kiingereza na Kichina
"SHIFT" na "SPACE" Badilisha kati ya hali ya herufi za baiti moja na herufi za baiti mbili
CTRL + . Badilisha kati ya hali ya uakifishaji wa herufi za baiti moja na herufi za baiti mbili