Google Tafsiri

Baada ya kuchagua lugha chanzo, utaona ikoni ya zana za kuingiza data katika sehemu ya chini kushoto ya kisanduku cha kuingiza. Bofya ikoni ili uwashe zana ya kuingiza data au ubadilishe kwenda kwenye zana nyingine ya kuingiza data katika menyu kunjuzi.

Makala yanayohusiana kuhusu jinsi ya kutumia zana maalum za kuingiza data:

Machapisho ya blogu za Google yanayohusiana: